Tunasafirisha mchanga kwa ajili ya ujenzi katika maeneo yote ndani ya mkoa wa DODOMA kwa bei nafuu kabisa
Tunasambaza kokoto katika maeneo yote yale yanapohitajika ndani ya mkoa wa DODOMA
Tunapakia na kusambaza vifusi maeneo yote ndani ya mkoa wa DODOMA.
Tunakodisha tipper kwa ajili ya matumizi yoyote yale.
Hatua tatu rahisi, kwa kawaida zinakamilika ndani ya siku moja.
Jaza fomu hapa chini, au piga simu moja kwa moja, ukieleza huduma unayohitaji.
Utapigiwa simu siku hiyo hiyo kupewa gharama na muda wa uwasilishaji.
Mzigo unawasilishwa na kumwagwa mahali mteja anapohitaji baada ya kuthibitisha malighafi aliyohitaji.
JengaNafuu tunatoa huduma za usafirishaji wa mchanga, kokoto na kifusi pamoja na kukodisha tipper ndani ya mkoa wa Dodoma na maeneo jirani. Wasiliana nasi kutufahamisha eneo lako na aina ya malighafi unayohitaji.
Au Jaza fomu hii na tutakupigia simu mara moja.